MWAKANYAMALE GEOFREY
Saturday, February 28, 2015
Wednesday, May 15, 2013
PROFESA LIPUMBA UNAUSHAHIDI???????Lipumba: Kuna njama za kumwongezea JK muda Share bookmark Print Email Rating Rais Kikwete Na Aidan Mhando na Fidelis Butahe, Mwananchi (email the author) Posted Jumanne,Mei14 2013 saa 20:23 PM Kwa ufupi Nitapenda kuona Rais Kikwete akikataa jambo hilo kwani litachafua taswira ya nchi. Hatua hii ni kinyume cha utawala bora,” alisema Profesa Lipumba. SHARE THIS STORY Tweet 0 inShare Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba amedai kuwa amenasa taarifa za siri za kuwapo kwa mipango ya kuongeza muda wa Serikali ya sasa kukaa madarakani. Profesa Lipumba alisema hiyo inatokana na wasiwasi kuwa mchakato wa Katiba Mpya hautaweza kukamilika mwaka 2014 hivyo kutokuwa rahisi kwa uchaguzi kufanyika mwaka 2015. Akizungumza Dar es Salaam jana, wakati akifungua kikao cha Baraza Kuu la CUF, Profesa Lipumba alisema kuwa Serikali inataka kuongezewa muda wa kukaa madarakani kwa miaka miwili ikimaanisha kuwa Serikali ya Awamu ya Nne chini ya Rais Jakaya Kikwete itakaa madarakani hadi mwaka 2017. Hata hivyo, madai hayo ya Profesa Lipumba yamepingwa vikali na Serikali na viongozi wake watatu waandamizi ambapo walijibu walipoulizwa kwa maandishi na mwandishi wetu mjini Dodoma wanakohudhuria kikao cha Bunge. Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe alijibu: “Mchakato wa Katiba upo ‘on track’ (unakwenda vizuri) hatuna sababu ya kufanya hivyo.” Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema alijibu” “Njooni ofisini kwangu nitasema ni kitu gani.” Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi alijibu kwa utani bila ya kufafanua: “Njooni niwajuze, unajua kamba haitoki Ukambani kama ilivyo kamba.” Profesa Lipumba amemwomba Rais Kikwete asilikubali wazo hilo akisema wananchi hawatakubali na taifa linaweza kuingia katika mtafaruku. “Nitapenda kuona Rais Kikwete akikataa jambo hilo kwani litachafua taswira ya nchi. Hatua hii ni kinyume cha utawala bora,” alisema Profesa Lipumba. Alisema Serikali haipaswi kuhofia uchaguzi kwa sababu ya Katiba kwani bado uwezekano wa kuandaa uchaguzi wa haki na huru unawezekana kwa utaratibu mwingine. “Mchakato wa Katiba unaendelea, Tume ya Mabadiliko ya Katiba inatuambia kwamba mwaka 2014 tutakuwa na Katiba Mpya, sasa CUF tunasema kwamba hata kama Katiba Mpya haitapatikana kwa kipindi hicho kuwe na Tume huru ya Uchaguzi,” alisema Profesa Lipumba. Jukwaa la Katiba kutinga mahakamani 1 | 2 Next Page» DISQUS seems to be taking longer than usual. Reload? Habari Mpya Mbunge aomba maji kwa vijiji 91 vya jimbo lake Kunjua makucha kwa kampuni za simu-Zungu Sh4 bilioni zatumika kwa kilimo Rukwa Serikali yaahidi kugawa mbegu bora kwa wakulima nchini Benki yafungua mlango wa biashara Tanz-China TBS yapanga kufumua matuta yasiyo na viwango Wachimbaji watakiwa kupeleka watoto shule Mifuko yaonywa kunyang’anyana wanachama Mnigeria akamatwa Kia na ‘unga’ JWTZ yatakiwa kuendeleza ubunifu Zilizosomwa Zaidi Bomu Arusha: Mtuhumiwa asomewa mashtaka 21 Lipumba: Kuna njama za kumwongezea JK muda Profesa Kapuya, Kessy watibuana hadharani Kupanua Barabara Dar hadi Chalinze Tume ya Kidato cha IV yatoa mapendekezo Mtoto wa miezi miwili anajisiwa Ngono zembe ilivyokithiri barabara ya kuelekea Zambia Kunjua makucha kwa kampuni za simu-Zungu Polisi 16 mbaroni Dar kwa magendo Facebook, mitandao ya kijamii huathiri watu kisaikolojia Kipanya Leo Mei Kipanya Aprili Kipanya Machi EmailPrivacy PolicyWasiliana nasi RSS
Tanzania haitarudi nyuma kwenye kuingilia kati DRC
Na Deodatus Balile, Dar es Salaam
Aprili 23, 2013
Tanzania haitarudi nyuma katika kupeleka majeshi huko Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kama sehemu ya kikosi cha kuingilia kati cha
Umoja wa Mataifa, licha ya maonyo mawili ya maandishi kutoka kikundi
cha waasi cha March 23rd Movement (M23), maafisa wa Tanzania wasema.
Salva Rweyemamu, mkurugenzi wa mawasiliano wa raisi wa Tanzania,
aliiambia Sabahi kuwa serikali ilipokea barua mbili kutoka kikundi cha
M23, ambacho kinapigana ili kuiangusha serikali ya Kongo.
Barua ya kwanza ilielekezwa kwa Mwenyekiti Mkutano wa Kimataifa wa Maziwa Makuu, Raisi wa Uganda Yoweri Museveni, na nyakala kupelekwa kwa wakuu wote wa serikali wa kanda hiyo, akiwemo Raisi wa Tanzania Jakaya Kikwete.
Barua ya pili ilitumwa kwa spika wa Bunge la Taifa Anne Makinda na kutiwa saini na Bertrand Bisimwa, mkuu mpya wa tawi la kisiasa la M23, iliyofika bunge la Tanzania siku ya Jumamosi (tarehe 20 Aprili), vyanzo viliiambia Sabahi.
Katika barua hiyo, M23 iliwataka wabunge wa Dar es Salaam kuishauri serikali dhidi ya kupeleka majeshi huko DRC, na hata kutishia "mauaji" ya majeshi ya Tanzania na wapiganaji wa M23 ikiwa Tanzania itaendelea mbele na upelekaji wa majeshi yake huko.
Hapo tarehe 28 Machi, Baraza la Usalama la UN kwa kauli moja lilipitisha Azimio 2098, ambalo lilisafisha njia kwa chombo cha kwanza cha kimataifa cha kikosi cha "mashambulizi". Mamlaka ya kikosi hicho cha kuingilia kati, itakayoundwa na vikosi vya askari wa miguu kutoka Tanzania, Afrika Kusini, Msumbiji na Malawi, ni "kuwamalizia nguvu na kuwanyang'anya silaha" wa M23, waasi wa Kongo na vikundi vyenye silaha vya kigeni huko mashariki ya DRC, kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Umoja wa Mataifa.
Katika barua ya tarehe 11 Aprili, Bisimwa alionya kwamba M23 itaishinda kikundi cha UN itakachoongozwa na jenerali wa Tanzania.
Mnamo tarehe 7 Aprili, Bisimwa alitoa vikosi kama hivyo kwa majeshi ya Afrika Kusini katika akaunti yake ya Twitter, lakini Afrika Kusini ilisema kuwa itaendelea na mipango yake ya kujiunga na kikosi cha uingiliaji kati cha UN huko DRC.
Kwa majibu ya barua ya Bisimwa kwa Spika Makinda, Azimio 2098 "linabadilisha Misheni ya UN ya Kulinda Amani huko DRC na kuifanya kuwa kikosi cha vita chenye amri ya kufanya operesheni za mashambulizi dhidi ya wananchi wa Kongo".
Bisimwa, ambaye anaushutumu Umoja wa Mataifa kwa kuingilia kati DRC kwa ajili ya kuiokoa serikali ilioko madarakani, kiliapa kuwa vikosi vya M23 vitaishinda kikosi cha uingiliaji kati.
Alisema kuwa anamheshimu sana raisi wa kwanza wa Tanzania, marehemu Mwalimu Julius Nyerere, lakini bado M23 itakuwa haina chaguo jengine bali "kuyaua majeshi ya ndugu zao kutoka Tanzania".
Kanali Kapambala Mgawe, msemaji mkuu wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi la Tanzania, alirudia kusema kuwa vikosi vya Tanzania vinakwenda Mashariki mwa DRC kuleta amani katika eneo hilo.
"Ambapo maisha ya wananchi wa DRC au walinda amani itakuwa katika hali ya hatari, vikosi vyetu vitaokoa maisha na kuwanyang'anya silaha wale wanaosababisha hatari hiyo," aliiambia Sabahi. "Huu ni msimamo na maelekezo kutoka UN."
Kama mfano, alitaja uingiliaji kati kijeshi wa Umoja wa Afrika huko Anjuan, katika visiwa vya Komoro, ambao ulimuondoa madarakani raisi wa zamani Kanali Mohamed Bacar. Licha ya vitisho kama hivyo dhidi ya mchango wa majeshi kutoka Dar es Salaam, vikosi vya Tanzania havikurudi nyuma, Membe alisema.
"Nadhani wao [M23] wangemuenzi Mwalimu Nyerere kwa kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vinasababisha ubakaji uliotapakaa, vifo vya watoto na wanawake, na watu wanaokimbia makazi yao," alisema.
Membe alisema M23 kinapaswa kumaliza uasi wake na kuacha kuua watu wasio na hatia, kwa hivyo kutoipa Tanzania sababu yoyote ya kupeleka kikosi chake DRC.
-
Waasi wa M23 wakiondoka toka milimani tarehe 30 Novemba, 2012, baada
ya kuondoka kijiji cha Karuba cha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia
ya Kongo. [Na Phil Moore/AFP]
-
Mkuu wa kijeshi wa M23 Jenerali Sultani Makenga (katikati)
akiwaashiria baadhi ya maafisa wake karibu na mji wa Sake, mashariki ya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, tarehe 30 Novemba, 2012. [Na Phil
Moore/AFP]
Barua ya kwanza ilielekezwa kwa Mwenyekiti Mkutano wa Kimataifa wa Maziwa Makuu, Raisi wa Uganda Yoweri Museveni, na nyakala kupelekwa kwa wakuu wote wa serikali wa kanda hiyo, akiwemo Raisi wa Tanzania Jakaya Kikwete.
Barua ya pili ilitumwa kwa spika wa Bunge la Taifa Anne Makinda na kutiwa saini na Bertrand Bisimwa, mkuu mpya wa tawi la kisiasa la M23, iliyofika bunge la Tanzania siku ya Jumamosi (tarehe 20 Aprili), vyanzo viliiambia Sabahi.
Katika barua hiyo, M23 iliwataka wabunge wa Dar es Salaam kuishauri serikali dhidi ya kupeleka majeshi huko DRC, na hata kutishia "mauaji" ya majeshi ya Tanzania na wapiganaji wa M23 ikiwa Tanzania itaendelea mbele na upelekaji wa majeshi yake huko.
Kurejesha amani
"Lengo la majeshi ya Tanzania sio kuwaua Wakongo bali kurejesha amani," naibu Spika wa Bunge la Taifa la Tanzania Job Ndugai aliiambia Sabahi. "M23 wataona hili kuwa ni tatizo ikiwa hawataki amani. Hatupeleki askari wetu kwenda kuua au kuuliwa na M23."Hapo tarehe 28 Machi, Baraza la Usalama la UN kwa kauli moja lilipitisha Azimio 2098, ambalo lilisafisha njia kwa chombo cha kwanza cha kimataifa cha kikosi cha "mashambulizi". Mamlaka ya kikosi hicho cha kuingilia kati, itakayoundwa na vikosi vya askari wa miguu kutoka Tanzania, Afrika Kusini, Msumbiji na Malawi, ni "kuwamalizia nguvu na kuwanyang'anya silaha" wa M23, waasi wa Kongo na vikundi vyenye silaha vya kigeni huko mashariki ya DRC, kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Umoja wa Mataifa.
Katika barua ya tarehe 11 Aprili, Bisimwa alionya kwamba M23 itaishinda kikundi cha UN itakachoongozwa na jenerali wa Tanzania.
Mnamo tarehe 7 Aprili, Bisimwa alitoa vikosi kama hivyo kwa majeshi ya Afrika Kusini katika akaunti yake ya Twitter, lakini Afrika Kusini ilisema kuwa itaendelea na mipango yake ya kujiunga na kikosi cha uingiliaji kati cha UN huko DRC.
Kwa majibu ya barua ya Bisimwa kwa Spika Makinda, Azimio 2098 "linabadilisha Misheni ya UN ya Kulinda Amani huko DRC na kuifanya kuwa kikosi cha vita chenye amri ya kufanya operesheni za mashambulizi dhidi ya wananchi wa Kongo".
Bisimwa, ambaye anaushutumu Umoja wa Mataifa kwa kuingilia kati DRC kwa ajili ya kuiokoa serikali ilioko madarakani, kiliapa kuwa vikosi vya M23 vitaishinda kikosi cha uingiliaji kati.
Alisema kuwa anamheshimu sana raisi wa kwanza wa Tanzania, marehemu Mwalimu Julius Nyerere, lakini bado M23 itakuwa haina chaguo jengine bali "kuyaua majeshi ya ndugu zao kutoka Tanzania".
Kanali Kapambala Mgawe, msemaji mkuu wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi la Tanzania, alirudia kusema kuwa vikosi vya Tanzania vinakwenda Mashariki mwa DRC kuleta amani katika eneo hilo.
"Ambapo maisha ya wananchi wa DRC au walinda amani itakuwa katika hali ya hatari, vikosi vyetu vitaokoa maisha na kuwanyang'anya silaha wale wanaosababisha hatari hiyo," aliiambia Sabahi. "Huu ni msimamo na maelekezo kutoka UN."
Vitisho huko nyuma
Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa Bernard Membe aliiambia Sabahi kuwa Tanzania imezowea kupokea vitisho kama hivyo visivyo na msingi kutoka vikundi vya waasi kila mara majeshi yake yanapoingilia kati kuwaokoa watu wasio na hatia.Kama mfano, alitaja uingiliaji kati kijeshi wa Umoja wa Afrika huko Anjuan, katika visiwa vya Komoro, ambao ulimuondoa madarakani raisi wa zamani Kanali Mohamed Bacar. Licha ya vitisho kama hivyo dhidi ya mchango wa majeshi kutoka Dar es Salaam, vikosi vya Tanzania havikurudi nyuma, Membe alisema.
"Nadhani wao [M23] wangemuenzi Mwalimu Nyerere kwa kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vinasababisha ubakaji uliotapakaa, vifo vya watoto na wanawake, na watu wanaokimbia makazi yao," alisema.
Membe alisema M23 kinapaswa kumaliza uasi wake na kuacha kuua watu wasio na hatia, kwa hivyo kutoipa Tanzania sababu yoyote ya kupeleka kikosi chake DRC.
Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 1009)
(882)
(127)
Habari Mpya kabisa
-
Waandamanaji waachilia nguruwe kwenye maandamano juu ya madai ya fedha ya wabunge wa Kenya
-
Somalia kuchukua udhibiti wa anga mwaka huu
-
Mtu mmoja ashtakiwa kwa bomu la kanisani Arusha
-
Kenyatta kuheshimu wajibu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu
-
Wagonjwa 40 wa akili watoroka hospitali Kenya, 10 warudi
-
Wizara ya ujenzi ya Tanzania yaomba shilingi trilioni 1.2 kwa barabara, madaraja
-
Mashirika ya misaada, viongozi wa eneo waomba msaada kwenye mapigano ya Mandera
-
5 wauawa katika shambulio la uvamizi la al-Shabaab karibu na Baidoa
-
Polisi wa Kenya wachukua hatua kali dhidi ya Baraza la Jamhuri la Mombasa
-
Viongozi wa bunge la Djibouti wathibitisha msaada wa kimataifa, makubaliano ya mkopo
Katika Mwangaza
Tanzania kusambaza jeshi, mashambulizi dhidi ya kampeni ya ujangili
Rais Jakaya Kikwete ametoa amri kwa vikosi kupambana na majangili moja kwa moja, wakati Mbuga za Wanyama za Tanzania zimetangaza mpango wa kutumia ndege za uchunguzi zisizokuwa na marubani.Jisajili
Habari Zinazopendwa
Kura
Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?
Nyenzo
Lipumba: Kuna njama za kumwongezea JK muda
Na Aidan Mhando na Fidelis Butahe, Mwananchi
(email the author)
Posted Jumanne,Mei14 2013 saa 20:23 PM
Posted Jumanne,Mei14 2013 saa 20:23 PM
Kwa ufupi
- Nitapenda kuona Rais Kikwete akikataa jambo hilo kwani litachafua taswira ya nchi. Hatua hii ni kinyume cha utawala bora,” alisema Profesa Lipumba.
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa
Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba amedai kuwa amenasa
taarifa za siri za kuwapo kwa mipango ya kuongeza muda wa Serikali ya
sasa kukaa madarakani.
Profesa Lipumba alisema hiyo inatokana na wasiwasi
kuwa mchakato wa Katiba Mpya hautaweza kukamilika mwaka 2014 hivyo
kutokuwa rahisi kwa uchaguzi kufanyika mwaka 2015.
Akizungumza Dar es Salaam jana, wakati akifungua
kikao cha Baraza Kuu la CUF, Profesa Lipumba alisema kuwa Serikali
inataka kuongezewa muda wa kukaa madarakani kwa miaka miwili ikimaanisha
kuwa Serikali ya Awamu ya Nne chini ya Rais Jakaya Kikwete itakaa
madarakani hadi mwaka 2017.
Hata hivyo, madai hayo ya Profesa Lipumba
yamepingwa vikali na Serikali na viongozi wake watatu waandamizi ambapo
walijibu walipoulizwa kwa maandishi na mwandishi wetu mjini Dodoma
wanakohudhuria kikao cha Bunge.
Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe
alijibu: “Mchakato wa Katiba upo ‘on track’ (unakwenda vizuri) hatuna
sababu ya kufanya hivyo.”
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema alijibu” “Njooni ofisini kwangu nitasema ni kitu gani.”
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,
Uratibu na Bunge, William Lukuvi alijibu kwa utani bila ya kufafanua:
“Njooni niwajuze, unajua kamba haitoki Ukambani kama ilivyo kamba.”
Profesa Lipumba amemwomba Rais Kikwete asilikubali
wazo hilo akisema wananchi hawatakubali na taifa linaweza kuingia
katika mtafaruku.
“Nitapenda kuona Rais Kikwete akikataa jambo hilo
kwani litachafua taswira ya nchi. Hatua hii ni kinyume cha utawala
bora,” alisema Profesa Lipumba.
Alisema Serikali haipaswi kuhofia uchaguzi kwa
sababu ya Katiba kwani bado uwezekano wa kuandaa uchaguzi wa haki na
huru unawezekana kwa utaratibu mwingine.
“Mchakato wa Katiba unaendelea, Tume ya Mabadiliko
ya Katiba inatuambia kwamba mwaka 2014 tutakuwa na Katiba Mpya, sasa
CUF tunasema kwamba hata kama Katiba Mpya haitapatikana kwa kipindi
hicho kuwe na Tume huru ya Uchaguzi,” alisema Profesa Lipumba.
Jukwaa la Katiba kutinga mahakamani
DISQUS seems to be taking longer than usual. Reload?
- Mbunge aomba maji kwa vijiji 91 vya jimbo lake
- Kunjua makucha kwa kampuni za simu-Zungu
- Sh4 bilioni zatumika kwa kilimo Rukwa
- Serikali yaahidi kugawa mbegu bora kwa wakulima nchini
- Benki yafungua mlango wa biashara Tanz-China
- TBS yapanga kufumua matuta yasiyo na viwango
- Wachimbaji watakiwa kupeleka watoto shule
- Mifuko yaonywa kunyang’anyana wanachama
- Mnigeria akamatwa Kia na ‘unga’
- JWTZ yatakiwa kuendeleza ubunifu
- Bomu Arusha: Mtuhumiwa asomewa mashtaka 21
- Lipumba: Kuna njama za kumwongezea JK muda
- Profesa Kapuya, Kessy watibuana hadharani
- Kupanua Barabara Dar hadi Chalinze
- Tume ya Kidato cha IV yatoa mapendekezo
- Mtoto wa miezi miwili anajisiwa
- Ngono zembe ilivyokithiri barabara ya kuelekea Zambia
- Kunjua makucha kwa kampuni za simu-Zungu
- Polisi 16 mbaroni Dar kwa magendo
- Facebook, mitandao ya kijamii huathiri watu kisaikolojia
Subscribe to:
Posts (Atom)
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji
Maoni ya msomaji